Home video VIDEO: ‘BABA KAGERE’ ATANGULIA MBELE ZA HAKI

VIDEO: ‘BABA KAGERE’ ATANGULIA MBELE ZA HAKI

ALIYEKUWA akidai kuwa ni baba mzazi wa mchezaji wa Simba, Meddie Kagere, ametangulia mbele za haki. Baba huyo alikuwa anadai kwamba Kagere ni mwanaye lakini hakupata bahati ya kuonana naye.


Kwa mujibu wa meneja wake amesema kuwa alikuja Bongo akitokea Bukoba kwa lengo la kuonana na Kagere.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA YATUA KWA KIUNGO WA MALI