GSM wadhamini wa Yanga wameshusha mashine mpya kwa Yanga ambayo ni gari aina ya Scania inakwenda kufanyiwa maboresho ili kuwa bora zaidi kwa kuweka nembo na matengenezo madogomadogo.