BONDIA Hussen Itaba amempiga mkwara Ibrahim Tamba kuelekea kwenye pambano lao la vitasa la mwisho wa nyodo katika pambano litakalochezwa Uwanja wa Kinesi.