Home video VIDEO: JEMBE JIPYA KUTOKA BURUNDI LAKUBALI KUTUA YANGA

VIDEO: JEMBE JIPYA KUTOKA BURUNDI LAKUBALI KUTUA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye hesabu za kukamilisha kupata saini ya kipa Erick Johola ambaye ni raia wa Tanzania anakipiga katika soka la kulipwa nchini Burundi.

 

SOMA NA HII  TAZAMA ALICHOKIFANYA NYONI BAADA YA SIMBA KUFUNGWA NA TP MAZEMBE