Home video VIDEO:MASHABIKI SIMBA WANUNA, WARUSHA MACHUPA

VIDEO:MASHABIKI SIMBA WANUNA, WARUSHA MACHUPA

MASHABIKI wa Simba baada ya mchezo wa jana Julai 3, Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-1 Yanga walionekana wakirusha machupa ya maji kwa wachezaji wa Yanga ambao walionekana wakiokota na kuweka kwenye ndoo ya takataka.

 

SOMA NA HII  LIVE: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ANAZUNGUMZA NDANI ya GLOBAL RADIO