Home video VIDEO:MZEE WA UTOPOLO ATAMBA YANGA KUIFUNGA SIMBA KIGOMA

VIDEO:MZEE WA UTOPOLO ATAMBA YANGA KUIFUNGA SIMBA KIGOMA

MZEE wa Utopolo ambaye ni shabiki wa Yanga amesema kuwa alimwambia Haji Manara kwamba asiogope na hawakuwa tayari kuona Simba inashinda mbele yao na kutwaa ubingwa hivyo kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Kigoma Simba atafungwa tena. 

 

SOMA NA HII  STARS MGUU SAWA KUIVAA BENIN KESHO,WACHEZAJI WAFANYA MAZOEZI YA MWISHO