Home Simba SC WATANO WA SIMBA KESHO KUIKOSA KMC, KWA MKAPA

WATANO WA SIMBA KESHO KUIKOSA KMC, KWA MKAPA

[the_ad id="25893"]


NYOTA watano wa Simba kesho wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Ni kipa namba tatu Ally Salim ambaye hayupo kwenye mpango wa Kocha Mkuu, Didier Gomes sawa na beki wa kushoto Gadiel Michael.

Mwingine ni Jonas Mkude ambaye ana matatizo ya suala la nidhamu.

Mbali na kiungo Mkude pia mshikaji wake Ibrahim Ajibu huyu yupo nje ya kikosi kwa kuwa anaumwa Malaria.

Perfect Chikwende alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe.

SOMA NA HII  KUHUSU HATMA YA KAGERE MSIMBAZI KWA MSIMU UJAO....AHMED ALLY AFUNGUKA NAMNA MAKUBALIANO YALIVYO...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here