Home Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NYASA BIG BULLETS, SURA MPYA...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NYASA BIG BULLETS, SURA MPYA ZAANZA


KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Nyassa Big Bullet, sura mpya za kazi zaanza ni pamoja na Dickson Ambundo winga kutoka Dodoma Jiji,Jimmy Ukonge kutoka UD Songo ambao wape leo Uwanja wa Mkapa.


Ni kwenye mashindano ya Kagame ambayo yanaanza leo.

SOMA NA HII  YANGA KWELI NI BABA LAO....HUYU HAPA GOLIKIPA MKENYA ANAYETAMANI KUSAJILI JANGWANI MSIMU UJAO...