Taifa Stars

NYOTA WA U 23 KELVIN HONGERA KWA KUONGEZA MWAKA MMOJA

admin August 2, 2021 9:43 pm

 


NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23, jana Agosti 2 ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani.


Kiungo huyo ambaye ni hazina ya taifa la Tanzania alikuwa miongoni mwa kikosi cha U 23 kilichorejea na taji la Cecafa Challenge 2021.


Tanzania ilishinda mbele ya Burundi katika mchezo wa fainali uliochezwa nchini Ethiopia.


Chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen,  vijana wa U 23 waliweza kutwaa taji hilo ikiwa ni furaha kwa wachezaji na taifa la Tanzania kiujumla.


Kila la kheri mpambanaji wa Tanzania, maisha mema. Mungu azidi kukulinda.

MSHAMBULIAJI WA SIMBA AMBAYE INATAJWA KAPORWA NA YANGA ATAJA ALIPO ILIKUWA MPANGO WA ARSENAL KUMSAJILI BEN WHITE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply