Home video VIDEO: MAKAMBO ASAINI YANGA, TAZAMA NAMNA ILIVYOKUWA

VIDEO: MAKAMBO ASAINI YANGA, TAZAMA NAMNA ILIVYOKUWA

HERITIER Makambo, aliyekuwa anakipiga ndani ya Horoya AC ya Guinea kabla ya kuvunja mkataba huko ametambulishwa rasmi ndani ya Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KUMBE YANGA WALIAHIDIWA BILIONI 15, MZEE MPILI ATOBOA