video

VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA ISHU YA HUJUMA

admin August 4, 2021 11:43 am

OFISA Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa anawashukuru mashabiki, wachezaji, viongozi pamoja na wadau ambao walikuwa wakifanya naye kazi wakati alipokuwa Ofisa Habari wa Simba kabla ya kubwanga manyanga na kuwabwaga mashabiki kupitia Kundi la Simba HQ.


 Manara amesema kuwa sababu kubwa ya yeye kuondoka Simba ni mbili ambapo ya kwanza ni suala la biashara na ile ya pili ni suala la umaarufu.

 

 

KIUNGO ALIYETEMWA KAGERA SUGAR AFUNGUKA KUSAINI SIMBA MIAKA MITATU JUMA MAKAPU WA YANGA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply