kimataifa

LUKAKU AKWEA PIPA KUIBUKIA LONDON

admin August 10, 2021 6:43 am


 MSHAMBULIAJI wa Inter Milan Romelu Lukaku anakwea pipa kuelekea London kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Chelsea.

Dau ambalo amewekewa mezani ni Euro milioni 115 ili kukamilisha uhamisho wake kutoka Inter Milan kuelekea Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu England.

 Nyota huyo mwenye miaka 28 atakamilisha masuala ya vipimo kabla ya kusaini dili jipya kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo.

Anatarajiwa kusaini dili la miaka mitano kwa ajili ya kuitumikia timu yake hiyo ya zamani ambayo alicheza hapo kabla ya kusepa mwaka 2014.


MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE UKIACHA, BANDA NA MHILU..HAWA HAPA WACHEZAJI WENGINE WAPYA WATANO WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply