Home kimataifa PSG BADO WANAMPIGIA HESABU POGBA

PSG BADO WANAMPIGIA HESABU POGBA


PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake.

Kwa mujibu wa Sky Sports imeeleza kuwa iliripoti Julai kwamba timu hiyo ya Ufaransa inahitaji kumpata nyota huyo anacheza ndani Ligi Kuu England.

PSG inahitaji kupata saini ya Pogba msimu huu kabla ya mkataba wake kuisha ndani ya kikosi hicho.

Licha ya kwamba PSG imemtambulisha Lionel Messi kuwa mchezaji wao bado wana nanfasi ya kumpa dili Pogba ikiwa watamhitaji kwa fedha kamili ama kwa mkopo.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA FAINAL NA MADRID ....SALAH AWATIA 'PRESHA' LIVERPOOL....ATEGUKA NYONGA ...KLOPP APAGAWA...