video

VIDEO:MENEJA WA PETER BANDA AFUNGUKIA ISHU YA NYOTA HUYO KUTAKIWA NA SIMBA

admin August 15, 2021 4:43 am

MENEJA wa Peter Banda, Mohamed Mshangama ameweka wazi kuwa mchezaji huyo alikuwa na ofa nyingi kutoka timu za Dar na alikuwa akimuuliza wakati mwingi kuliko timu kutoka Tanzania.

 
Alimuambia kwamba aweke wazi timu ambayo anataka kwenda ila alimficha siku ambayo anakuja Tanzania. Kuhusu kuwa mrithi wa Luis Miquissone ameweka wazi kwamba bado anamuda wa kufanya kazi kwa kuwa ana miaka michache.

 

KOMBE LA KAGAME MIKONONI MWA EXPRESS YA UGANDA YANGA KUANZA KUWAVUTIA KASI WANAIJERIA, KAMBI YAO MOROCCO KUANZA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply