video
VIDEO:SIMBA YAMTAMBULISHA BEKI MPYA
KIKOSI cha Simba leo Agosti 15 kimemtambulisha nyota mpya mwenye miaka 26 ambaye ataitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22 yeye ni beki.
Ni raia wa Congo anaitwa Henock Inonga Baka.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.