Home video VIDEO:YANGA YAOMBA KUCHEZA NA SIMBA, MOROCCO

VIDEO:YANGA YAOMBA KUCHEZA NA SIMBA, MOROCCO

WAKATI wakiwa nchini Morocco kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2021/22 Yanga wanatajwa kuomba mechi dhidi ya Simba ambao nao wameweka kambi nchini Morocco. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:NYOTA WAPYA 10 WA YANGA KOCHA ATOA KAULI, KAZI IPO