video

VIDEO: TBC WALIPASUA KICHWA KUMPATA KASHASHA, PUMZIKA KWA AMANI

admin August 20, 2021 5:43 am

ENOCK Bwigane ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Kashasha aliyekuwa mchambuzi wa masuala ya michezo katika kituo cha TBC ambaye ametangulia mbele za haki Jana, Agostii 19 ameweka wazi kwamba waliumiza kichwa kumpata mchambuzi mahiri mpaka wakampata Kashasha kwa sababu wapo wachambuzi wengi ambao wamepita hapo na hakuna ambaye alikuwa akidumu. Pumzika kwa amani Kashasha.

 

SIMBA, YANGA JIKITENI KWENYE ISHU YA KIBIASHARA, POROJO MUDA WAKE UMEISHA NI MSIMU MPYA WENYE VIBE JIPYA VIWANJANI, ARSENAL NA CHELSEA KUKIWASHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply