KMC FC
KMC NA WAO WAMO BWANA… WASHUSHA KIFAA HIKI MATATA KUTOKA MOROCCO
BEKI Nickson Kibabage aliyekuwa akikipiga klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco anatajwa kujiunga na KMC baada ya kumalizana na mabosi zake wa zamani kwa makubaliano ya kuvunjiana mkataba.
Inaelezwa mabosi wa KMC chini ya Katibu Mkuu, Walter Harrison
wamekamilisha dili hilo mapema kwa lengo la kuziba nafasi ya David Bryson aliyetimkia ya Yanga na kusaini mkataba wa miaka miwili.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.