Home news TANZIA: MRATIBU KMC ATANGULIA MBELE ZA HAKI

TANZIA: MRATIBU KMC ATANGULIA MBELE ZA HAKI


TANZIA

TAARIFA iliyotufikia hivi punde ni kutoka KMC, Coordinator   (Mratibu) wa timu hiyo Joshua Julius ametangulia mbele za haki.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala.

Poleni wanafamilia ya KMC, poleni familia ya michezo,  pole kwa ndugu jamaa na marafiki….

Pumzika kwa amani Julius, mwendo umeumaliza….

SOMA NA HII  CHIRWA. MOLINGA KUTUPIWA VIRAGO NAMUNGO...MATARAJIO YAMEKUWA NDIVYO SIVYO...