Yanga SC

BAADA YA KUSAJILI WACONGO WENGI..YANGA WAAMUA ‘KUTOMBOKA’ NA KOFFI OLOMIDE SIKU YA MWANANCHI

admin August 23, 2021 11:30 am


MSANII wa muziki aina ya dansi, Koffi Olomide atakuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza katika siku ya Mwananchi itakayofanyika Agosti 29 katika Uwanja wa Mkapa.

Mwenyekiti wa kamati ya habari na hamasa na mjumbe wa kamati ya utendaji Yanga, Suma Mwaitenda alisema kwenye tamasha hilo licha ya kuwa na wasanii wengi ila wataongozwa na Koffi Olomide.

“Tutakuwa na Namba ambayo itakuwa inaweka statasi kwenye simu na kuonyesha kila ratiba ya tukio itakavyokuwa, hii ni timu ya wananchi na namba hii itawasaidia wanachama kupata ratiba,” alisema Mwaitenda.

Viingilio katika siku ya Wananchi kwa chini itakuwa ni shilingi elfu tatu (3000) na kiwango cha juu ni shilingi laki mbili (200000) ambao watakuwa na uangalizi mwingine.

TSHISHIMBI AFUNGUKA HAYA KUHUSU YANGA…ADAI ILIKUWA TIMU MBAYA SANA..AWATAJA WACONGO BAADA YA MAZOEZI YA KUKIMBIA …YANGA WAVUNJA KAMBI YA MOROCCO..SABABU HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply