Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na wote wanarudi na ndege moja.
Wachezaji hao wengine ni wale ambao wameitwa kutumikia timu za taifa katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2022.