Uncategorized

LIVE: TANZANIA 0-0 KENYA

admin July 28, 2019 1:25 pm

MCHEZO unaoendelea kwa sasa uwanja wa Taifa ni kati ya Tanzania na Kenya.

Kipindi cha kwanza hakuna ambaye ameona lango la mpinzani wake, ushindani ni mkubwa na kila timu inapambana kutafuta matokeo.

Huu ni mchezo wa kwanza kwa ajili ya kuwania kufuzu michuano ya Chan, mashabiki wamejitokeza kuipa sapoti timu ya Taifa.

VIDEO: YANGA YATOA MSAADA HOSPITALI YA MBEZI STARS SASA KAZI KUHAMIA KENYA KUTAFUTA NAFASI YA KUFUZU CHAN

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply