video
VIDEO: KOCHA YANGA ANAAMINI KUNA JAMBO AMELIPATA, SAIDO ATUMA UJUMBE
KIUNGO wa Yanga, Said Ntibanzokiza, ‘Saido’ amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo watarajie mambo mazuri kutoka kwa timu hiyo kwa msimu mpya wa 2021/22 huku Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi akiweka wazi kwamba kuna mambo alikuwa anafuatilia nchini Morocco na anaamini kuna jambo ambalo wamelipata
Jana Agosti 24 Yanga walirejea kutoka nchini Morocco ambapo waliweka kambi kwa muda mfupi ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.