video
VIDEO:JULIO AWAPONGEZA YANGA KWA SHUGHULI YA WIKI YA MWANANCHI
JULIO amewapa pongezi Yanga kwa kufanya tamasha lao jana Agosti 29, Uwanja wa Mkapa ambalo liliwakusanya mashabiki wengi kutoka Tanzania na ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco na ubao ulisoma Yanga 1-2 Zanaco.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.