Home news SENZO AWA C.E.O YANGA

SENZO AWA C.E.O YANGA


MAKAMU Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela leo Agosti 31, 2021 amemtangaza, Senzo Mbatha kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Klabu hiyo atakayesimamia mchakato wa mabadiliko kufikia mwisho na aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Klabu hiyo, Hajji Mfikirwa atakuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala.


Fredrick Mwakalebela ametangaza hayo baada ya Katiba ya Yanga kubadilishwa baada ya wanachama wa Klabu hiyo kupitisha mchakato wa mabadiliko kwa asimia mia.

SOMA NA HII  WAKATI WENZAKE WAKIIKIMBILIA YANGA...BEKI KITASA APANGA KUSEPA JANGWANI...ISHU KUBWA NI PAMOJA NA HILI KUMBE...