Home video VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA...

VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA ISHU YA HUJUMA

OFISA Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa anawashukuru mashabiki, wachezaji, viongozi pamoja na wadau ambao walikuwa wakifanya naye kazi wakati alipokuwa Ofisa Habari wa Simba kabla ya kubwanga manyanga na kuwabwaga mashabiki kupitia Kundi la Simba HQ.


 Manara amesema kuwa sababu kubwa ya yeye kuondoka Simba ni mbili ambapo ya kwanza ni suala la biashara na ile ya pili ni suala la umaarufu.

 

 

SOMA NA HII  TAZAMA MUONEKANO WA UWANJA WA MKAPA NYAKATI USIKU