Home video VIDEO: KAZI YA KWANZA YA HAJI MANARA YANGA, APIGA MKWARA

VIDEO: KAZI YA KWANZA YA HAJI MANARA YANGA, APIGA MKWARA


BAADA ya jana Agosti 24 Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba kutambulishwa ndani ya Yanga kazi yake ya kwanza ilikuwa ni ya uzinduzi wa uzi mpya utakaotumika na timu hiyo kwa msimu wa 2021/22.


 Inakuwa ni kazi yake ya kwanza kuifanya baada ya kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga na Senzo Mbatha ambaye ni Mshauri Mkuu kuelekea katika mabadiliko ya timu. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:HAJI MANARA ATUPA DONGO LINGINE KWA SIMBA