Home Taifa Stars VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ACHEZA SINGELI, KISA UBINGWA WA CECAFA

VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ACHEZA SINGELI, KISA UBINGWA WA CECAFA


TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 23 leo Agosti Mosi imerejea Tanzania ikitokea nchini Ethiopia ambapo imetwaa taji la Cecafa, kutokana na ushindi huo ilipokelewa na mashabiki wa Tanzania ambao walikuwa wakicheza ngoma kwa mtindo wa Singeli. 


Kocha Mkuu wa timu hiyo, Kim Poulsen naye pia alikuwa miongoni mwa wale ambao walicheza hiyo Singeli. Mbali na Poulsen pia Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia naye alikuwa kwenye msafara huo alipata muda wa kuwashuhudia vijana wake wakiwatazama mashabiki wao. 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA YAAPA KULIPA KISASI, MANARA AFUNGUKA MAZITO