Home video VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAWAITA WALE WA SIMBA KWA MKAPA

VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAWAITA WALE WA SIMBA KWA MKAPA

MASHABIKI wa Yanga wamebainisha kuwa wameungana kufanya hamasa kwa mashabiki ikiwa ni pamoja na wale wa Simba ili kuweza kujitokeza kwa wingi kesho na wasione tabu wavae uzi wa Yanga kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo Yanga itacheza na Zanaco.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KIPA NAMBA MOJA WA MWADUI FC, MUSSA MBISSA AMEWEKA