Home video VIDEO: PETER BANDA,YANGA WAMDAKA JUU NA KUIFANYIA UMAFIA SIMBA

VIDEO: PETER BANDA,YANGA WAMDAKA JUU NA KUIFANYIA UMAFIA SIMBA

INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji mwenye miaka 20. 


Habari zinaeleza kuwa Yanga walisepa na mshambuliaji huyo ambaye alikuwa kwenye hesabu za kumalizana na Simba. 

 

SOMA NA HII  ALICHOSEMA MASAU BWIRE BAADA YA KOCHA MPYA SIMBA KUTUA TZ..