Home video VIDEO:JULIO AWAPONGEZA YANGA KWA SHUGHULI YA WIKI YA MWANANCHI

VIDEO:JULIO AWAPONGEZA YANGA KWA SHUGHULI YA WIKI YA MWANANCHI

JULIO amewapa pongezi Yanga kwa kufanya tamasha lao jana Agosti 29, Uwanja wa Mkapa ambalo liliwakusanya mashabiki wengi kutoka Tanzania na ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco na ubao ulisoma Yanga 1-2 Zanaco.

 

SOMA NA HII  VIDEO:KOCHA SIMBA AHITAJI MWENDELEZO WA USHINDI,AWASUBIRI MASHABIKI DABI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here