Home video VIDEO:MAKAMBO, MAYELE WASEPA BONGO

VIDEO:MAKAMBO, MAYELE WASEPA BONGO


NYOTA wawili wa Yanga ambao wamesaini madili mapya msimu huu wa 2021/22 wamesepa na kuibukia Congo kwa ajili ya mapumziko mafupi.


Kwa upande wa makipa inaelezwa kuwa Metacha Mnata anaweza kutemwa Yanga huku Ramadhan Kabwili na Faroukh Shikalo hawa wakipewa nafasi ya kubaki. 

 

SOMA NA HII  YANGA WARUSHA KOMBORA SIMBA...WANANGA OFISI ZAO...