Home video YANGA WARUSHA KOMBORA SIMBA…WANANGA OFISI ZAO…

YANGA WARUSHA KOMBORA SIMBA…WANANGA OFISI ZAO…

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi Simba wapo tayari na mchezo baada ya kurejea jana Septemba 20 wakitokea nchini Nigeria.


 Mkuu wa Kitengo cha Habari ndani ya Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kila mmoja anatambua juu ya uwepo wa mchezo huo na wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo na hawataacha kutwaa taji hilo.

 Aidha amesema kuwa timu ya Yanga ipo imara na ina Ofisi nzuri tofauti na wengine ambao wanapata tabu kwa kuwa hawana nafasi kwa kuwa watapata tabu kununua tiketi.

 

SOMA NA HII  WAZIR JUNIOR:NITAENDELEA KUPAMBANA, HATUKUTARAJIA MATOKEO