Home video WAZIR JUNIOR:NITAENDELEA KUPAMBANA, HATUKUTARAJIA MATOKEO

WAZIR JUNIOR:NITAENDELEA KUPAMBANA, HATUKUTARAJIA MATOKEO

NYOTA wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa matokeo ya leo ilikuwa bahati mbaya kwao kwa kuwa wamepata matokeo mabaya ambayo walikuwa hawatarajii. Amesema kuwa wana amini kwamba watafanya vizuri katika mchezo wao wa mwisho uliobaki


Mchezo wao ujao ni dhidi ya Express ambao ni vinara wa kundi A wakiwa na pointi nne hivyo Yanga inapaswa kushinda ili kutinga hatua inayofuata.

 

SOMA NA HII  NENO KUTOKA KWA RAIS WA TFF, KARIA BAADA YA KUPATA UDHAMINI