Burudani
MUBEEN ESMAIL ASHINDA JACPOT YA SportPesa
MKWANJA umetolewa kwa mshindi mwingine ambaye ameweza kubashiri vizuri Jacpot ya SportPesa.
Ni Mubeen Esmail kutoka Mtwara ambaye ameshinda bonas ya Jackpot ya SportPesa.
Amekabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,389,751/- za kitanzania baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa.
Mubeen alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot. Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni shilingi 468,576,020/-

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.