Home Yanga SC YANGA YARIDHIA KUTOMUONGEZEA MKATABA ANTONIO NUGAZ

YANGA YARIDHIA KUTOMUONGEZEA MKATABA ANTONIO NUGAZ


ANTONIO Nugaz aliyekuwa Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, mkataba wake umemalizika ndani ya Yanga na mabosi hawajaamua kumuongezea mkataba mpya.


Yanga wametoa shukrani kwa Nugaz.  Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  PAMOJA NA KUONGOZA LIGI...NABI KAKITAZAMA KIKOSI CHAKE WEE..KISHA AKATOA OMBI HILI YANGA...