KMC FC

BREAKING:KIPA YANGA ASAINI DILI KMC

admin September 4, 2021 6:43 am


FAROUK Shikalo aliyekuwa kipa namba mbili wa Yanga leo Septemba 4 ametambulishwa kuwa mali ya KMC.

Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Yanga mkataba wake wa miaka miwili ulimeguka na mabao wa timu hiyo waliamua kumuacha aende.

Hakuwa katika nafasi ya kudumu msimu uliopita kwa kuwa katika mechi 34 alikaa langoni kwenye mechi 10 za Ligi Kuu Bara. 

Aliweza kutwaa taji la Mapinduzi katika mchezo wa fainali uliochezwa Visiwani Zanzibar mbele ya Simba.

UWANJA WA KIRUMBA CAF YAUKATAA, BIASHARA SASA NI DAR KWA WANAOTAABIKA NA SIMU ‘KUSTAKI STAKI’ …Infinix IMEKUJIA NA HILI JIPYA..NI MWENDO WA KUTELEZA TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply