kimataifa

LINGARD AGOMEA KURUDI MANCHESTER UNITED

admin September 5, 2021 1:43 pm


​​Jesse Lingard imeripotiwa kuwa amewaambia  West Ham kwamba hana mpango wa kurudi katika timu yake ya zamani Manchester United.

Sababu kubwa inayomfanya nyota huyo kutaka kubaki ndani ya kikosi hicho ni kuaminika na kupewa nafasi kikosi cha kwanza.

Awali iliripotiwa kwamba Lingard angerejea ndani ya Manchester United ila mambo yamekuwa tofauti kwake hajarudi.

SAMATTA KUMBE UMRI TATIZO UZI WA YANGA UNAAMBIWA, ‘SISI TUNA WATU’

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply