news

FAMILIA YA MICHEZO YAMLILIA HANSPOPE, PUMZIKA KWA AMANI

admin September 11, 2021 2:43 am


BAADA ya taarifa ya kushtua katika familia ya michezo kuhusu kutangulia mbele za haki kwa mwanamichezo Hanspope Zakaria wengi wamekuwa wakimlilia.

Hanspope ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba alikuwa anaumwa na taarifa zake za kutangulia mbele za haki imetolewa usiku wa kuamkia leo.

Miongoni mwa waliomlilia ni pamoja na Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba, Emmanuel Okwi nyota wa zamani wa Simba pamoja na viongozi mbalimbali wa Simba ambao wamesema kuwa wameshtushwa na taarifa hiyo.

Pumzika kwa amani

YANGA YAPANIA KIMATAIFA..WAPANGA KUKODI DEGE KUBWA LA ATCL KUWAFUATA WANIGERIA DEMBELE KUPEWA DILI JIPYA BARCELONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply