kimataifa

MAHREZ AFUNGIWA ENGLAND

admin September 11, 2021 1:43 pm


NYOTA wa kikosi cha Manchester City, Riyad Mahrez amefungiwa kuendesha gari nchini England baada ya kukutwa akiendesha kwa kasi.

Staa huyo raia wa Algeria alikutwa akiendesha gari kwa spidi 120. Licha ya kufungiwa pia amepigwa faini ndefu.


Faini yake ni pauni 2,500 na hatakiwi kuendesha gari kwa siku 56 adhabu yake ilianza juzi jioni.

Kiungo huyo alikuwa anaendesha gari yake aina ya Audi RS6 lenye thamani ya pauni 100,000 likiwa ni moja ya magari yanayopendwa na wachezaji wengi. 

BAADA YA KUPATA DILI KUBWA MOROCCO..FISTON AFUNGUKA HAYA KUHUSU YANGA.. AZAM FC KAMILI GADO KUMALIZANA NA WASOMALIA LEO, KILA LA KHERI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply