Azam FC

KOCHA AZAM FC AWAPA PONGEZI WACHEZAJI WAKE

admin September 12, 2021 3:43 pm


 VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wanahitaji pongezi kwa kupambana kwa ajili ya uzi wa timu hiyo na kupata ushindi kwenye mchezo wa awali wa Kombe la Shirikisho.

Jana, Septemba 11, Azam FC ilipambana na kushinda katika mchezo wa awali kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Horseed FC.

Akizungumza na Soka la Bongo amesema kuwa wachezaji walipambana kwa hali na mali kusaka ushindi.

“Wachezaji wanastahili pongezi kwa kupambana kusaka ushindi ila bado kazi inaendelea na tunashukuru kwa ushindi,” .

Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa Septemba 18, Uwanja wa Uhuru na Horseed FC watakuwa wenyeji.

BAADA YA KUSAJILIWA YANGA NA KUKUTANA NA KOCHA NABI..KIPA MPYA YANGA AFUNGUKA HAYA..ATAJA MAZOEZI BAADA YA HANS POPE KUFARIKI…MANARA AIBUKA NA HAYA..AITAJA SURA YA KWENYE QURAN

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply