video

VIDEO: ALIYEWATUNGUA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

admin September 13, 2021 3:43 am

MTUPIAJI wa bao pekee lililowapa maumivu Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya awali, Moses anayekipiga ndani ya Rivers United amesema kuwa alikuwa hajaifuatilia kwa muda mrefu Simba hivyo alipokuja Tanzania aliweza kufanya jambo hilo na kuweka wazi kuwa ikiwa timu hiyo inahitaji kupata saini yake ni suala la kufanya mawasiliano na uongozi wa Rivers United.

 

UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO VIDEO:ALICHOKIFANYA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply