video

VIDEO:YANGA WANAAMINI WANAKWENDA KUPATA MATOKEO MBELE YA RIVERS UNITED

admin September 13, 2021 3:43 am

MZEE wa Utopolo ambaye ni moja ya shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa matokeo ambayo wameyapata jana Septemba 12 kwa kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Rivers United wanayapokea kwa kuwa hakuna ambacho kinaweza kubadilika na badala yake wanapaswa kubadili pale ambapo wamekosea huku wakiamini kwamba kwenye mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa nchini Nigeria watacheza tofauti na kupata matokeo chanya.

 

VIDEO:ALICHOKIFANYA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA SIMBA WATAJA SABABU YA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply