video
AMRI KIEMBA ATOA SOMO KWA WACHEZAJI
AMRI Kiemba nyota wa zamani wa kikosi cha Simba ambaye pia amecheza ndani ya kikosi cha Azam FC, Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa amekuwa akiwashauri wachezaji wengi ili watakapostaafu soka waweze kuendelea kumudu gharama za maisha.
Kiemba ameweka wazi kuwa huwa anaumia pale ambapo anaona mchezaji mwenye uwezo wa kutengeneza mkwanja kuanzia milioni 5 mpaka 10 anapoanza kupata tabu pale atakapostaafu soka.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.