News

WAKATI YANGA WAKIKODI NDEGE KWENA NIGERIA…SIMBA WAINGIA MKATABA WA MAMILIONI NA AIR TANZANIA

admin September 17, 2021 10:43 am


UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote.

Mkataba huo utaiwezesha Simba kuweza kusafiri ndani ya Tanzania kwa ndege za shirika hilo pekee ikiwa katika safari zake.

Inatajwa kuwa mkataba huo uana thamani ya shilingi milioni 400.

Mkataba huo umesainiwa leo Septemba 17 mbele ya Waandishi wa Habari.


Mkataba ambao wamesaini leo ni wa muda wa miaka miwili kwa ajili ya ushirikiano.
YANGA WAKWEPA MITEGO MIWILI NIGERIA…SIMBA YAHUSISHWA MBWANA SAMATTA ACHEKA NA NYAVU TIMU YAKE IKIFUNGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply