News HALI ILIVYO UWANJA WA MKAPA, MATUKIO KATIKA PICHA admin September 19, 2021 12:43 pm UWANJA wa Mkapa leo Septemba 19 ikiwa ni tamasha la Simba Day ikiwa ni siku ya hitimisho. Kutakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, pia burudani kutoka kwa wasanii zinqendelea.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.