MCHEZO wa ngumi kwa sasa nchini Tanzania umezidi kujizolea umaarufu kila kona na hata watoto pia wamekuwa wakijifunza ili waweze kutimiza malengo yake kama ambavyo kijana huyu akiwa kwenye mazoezi.