video

YANGA: SIMBA KUFUNGWA NI UZEMBE WAO, TUNARUDI KUJIPANGA

admin September 20, 2021 7:43 am

KUPOTEZA kwa Simba kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe jana Uwanja wa Mkapa kwenye tamasha la Simba Day, shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa kufungwa kwao ni uzembe wao kwa kuwa walipata muda mwingi wa kujiandaa tofauti na TP Mazembe.


 Pia ameweka wazi pia timu ya Yanga kutolewa katika hatua ya awali ya Ligi ya mabingwa Afrika ni jambo ambalo linawaumiza ila inabidi wajipange.

 

GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE SOLSKJAER AWASIFU WACHEZAJI WAKE, ALIA NA PENALTI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply