video

SIMBA YAIPONGEZA YANGA KWA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA…,YATOA AHADI NYINGINE

admin September 21, 2021 11:43 am

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Septemba 25 ambao ni wa Ngao ya Jamii na itakuwa pale Uwanja wa Mkapa. 


 Kaimu Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amewapa hongera na pole Yanga kwa kutolewa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika huku akiahidi kuwa watakuwa na wakati mweingine kwenye mashindano ya kimataifa msimu ujao.

Pia amewapa pongezi Azam FC, Biashara United kwa kuweza kutinga raundi ya kwanza katika Kombe la Shirikisho.

 

HILO HAPA BENCHI LA SIMBA MSIMU WA 2021/22 ISHU YA KESI YA MORISSON DANADANA TENA..WAKAILI WA YANGA AMWAGA UKWELI HADHARANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply