video

YANGA WARUSHA KOMBORA SIMBA…WANANGA OFISI ZAO…

admin September 21, 2021 11:43 am

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi Simba wapo tayari na mchezo baada ya kurejea jana Septemba 20 wakitokea nchini Nigeria.


 Mkuu wa Kitengo cha Habari ndani ya Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kila mmoja anatambua juu ya uwepo wa mchezo huo na wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo na hawataacha kutwaa taji hilo.

 Aidha amesema kuwa timu ya Yanga ipo imara na ina Ofisi nzuri tofauti na wengine ambao wanapata tabu kwa kuwa hawana nafasi kwa kuwa watapata tabu kununua tiketi.

 

ISHU YA KESI YA MORISSON DANADANA TENA..WAKAILI WA YANGA AMWAGA UKWELI HADHARANI BAADA YA SIKU YA WANANCHI NA SIMBA DAY..MASAU BWIRE AIBUKA NA USIKU WA RUVU SHOOTING

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply